Chama cha wafanyakazi wa nyumbani, hoteli na taasisi za elimu, KUDHEIHA, kimesimamisha kwa muda mgomo wa wanachama wake wanaohudumu katika vyuo vikuu vya umma ili kutoa nafasi ya mashauriano. Wizara ya elimu imeahidi kulipa malimbikizi ya mishahara inayodaiwa na wafanyakazi wa vyuo vikuu wanaogoma ya shilingi bilioni 2.73 pamoja na mishahara ya mwezi huu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive