Skip to main content
Skip to main content

Chama cha KUPPET chatishia kuitisha mgomo mwezi ujao

  • | Citizen TV
    295 views
    Duration: 2:12
    Chama cha walimu KUPPET eneobunge la Kabuchai kaunti ya Bungoma kimetishia kuitisha mgomo muhula wa pili iwapo tsc na wizara ya afya zitaendelea kushindwa kushughulikia matatizo ya bima ya sha pamoja na kuajiri walimu wapya. Kulingana na viongozi hao, walimu wanapitia changamoto nyingi ikiwemo kutafuta huduma za matibabu.