Skip to main content
Skip to main content

Chama cha LSK chapinga maagizo yanayozuia mashirika ya umma kuwakilishwa na mawakili wa kibinafsi

  • | KBC Video
    151 views
    Duration: 2:31
    Chama cha mawakili humu nchini LSK kimewasilisha ombi mahakamani kutaka kubatilishwa kwa maagizo ya muda yanayozuia mashirika ya umma kuwakilishwa na mawakili wa kibinafsi. Akizungumza na wanahabari jijini Nairobi leo, rais wa chama cha LSK alitaja maagizo hayo kuwa kinyume cha katiba, yenye ubaguzi na tishio kwa upatikanaji wa haki. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive