17 Sep 2025 1:34 pm | Citizen TV 66 views Duration: 1:27 Chama cha haki za kutazama na kusikiza muziki na utendaji nchini Kenya PAVRISK chini ya mwemyekiti wa bodi ya chama hicho Edwardo Waigwa hivi leo kimetoa shilingi millioni 24 kama mrahaba kwa wasanii nchini.