13 Oct 2025 10:19 am | Citizen TV 275 views Duration: 1:30 Muungano wa walimu KNUT umepinga wito wa walimu wa sekondari msingi kujisimamia wenyewe wakisema wanapotoshwa na viongozi wa muungano wao na wanasiasa.