Chama cha wauguzi kaunit ya Trans Nzoia chataka serikali kuajiri wauguzi zaidi

  • | Citizen TV
    177 views

    Chama cha kutetea maslahi ya wauguzi kaunti ya Trans Nzoia kinaitaka serikali ya kaunti kuajiri wauguzi zaidi pamoja na kuwapandiza ngazi wauguzi katika eneo hilo ili kuwapa motisha ya kuendeleza shughuli za matibabu.