Changamoto yatolewa kwa usawa wa elimu nchini

  • | Citizen TV
    259 views

    Changamoto imetolewa kwa uekezaji zaidi wa elimu ya watoto walemavu sawa na wanafunzi wengine. Wito huu ukifuatia changamoto zinazoendelea kuwakumba wanafunzi walemavu katika kupata elimu ya msingi, siku ambayo ulimwengu uliadhimisha siku kuu ya mtoto wa kiafrika