Changamoto zinazotakana na mabadiliko ya tabia nchi

  • | K24 Video
    42 views

    Asilimia 80 ya kenya huwa ni sehemu kame. Kufuatia mabadiliko ya tabia nchi, matumizi mabaya ya raslimali asili na shughuli za kibinadamu, maeneo mengi yanakabiliwa na tishio la kuwa jangwa. Iwapo hali hiyo itaendelea, huenda ardhi ya kenya ikawa jangwa. lakini ni kipi cha kufanya kudhibiti hali?