CHANJO ZA HOMA YA MATUMBO TCV NA UKAMBI NA SURUA KILIFI

  • | KNA Video
    6 views
    Watoto zaidi ya laki sita katika kaunti ya Kilifi wanatarajiwa kupokea chanjo mpya ya homa ya matumbo TCV pamoja na ile ya ukambi na surau kama njia mojawapo ya kukinga watoto kupata maambukizi ya magonjwa hayo. Zoezi hilo litakalohusisha kupeana chanjo kwa watoto wenye umri kati ya miezi tisa hadi miaka kumi na minne na miezi tisa hadi miezi Hamsini na tisa litaanza hapo kesho tarehe 5 na kukamilika Julai 14.