- 5,405 viewsDuration: 2:02Si umri tu unaoamua muda sahihi wa kuota mvi, bali pia lishe, msongo wa mawazo na hata kurithi kwenye familia. Mtu anaweza kuanza kupata mvi hata akiwa na miaka 14 tu na hilo linaweza kumfanya ajisikie vibaya kwa muda mrefu. Lakini madaktari wanasema hali kama hiyo sasa inazidi kuongezeka miongoni mwa vijana duniani. Lakini je mvi ni uzee au ni utambulisho? Tuambie kwenye maoni hapo chini Mwandishi wa BBC Nasteha Mohamed anatueleza: - - #bbcswahili #afya #mvi #uzee