- 7,529 viewsDuration: 21sChatu mkubwa alionekana akisombwa na maji ya mafuriko baada ya siku kadhaa za mvua kubwa katika eneo la Valsad, Gujarat, India. Kuonekana kwa chatu huyo kulizua hofu miongoni mwa wakazi. Maeneo mengi yalifunikwa na maji baada ya mafuriko hayo na kusababisha vifo vya watu wasiopungua wanne. #bbcswahili #india #haliyahewa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw