- 106 viewsDuration: 1:37Baadhi ya viongozi wa mrengo wa Kenya Kwanza wameitetea serikali dhidi ya madai ya kutoa vitambulisho kwa raia wa kigeni kwa nia ya kushawishi uchaguzi mkuu ujao. Wakiongozwa na kiongozi wa walio wengi katika seneti Aron Cheruiyot, walisema kuwa utoaji usio wa kawaida wa vitambulisho kwa raia wa kigeni uliendelezwa na utawala wa zamani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive