Vincent Cheruiyot,mwanafunzi wa umri wa miaka 15 aliye nma mahitaji maalum aliyekuwa akiomba kifaa cha kumsaidia kutembea sasa ana sababu ya kutabasamu .Baada ya shirika la utagazaji nchini KBC kuangazia tatizo lake mwanzoni mwa mwezi juni,Vincent,sasa amenufaika na viti viwili vya magurudumu kimoja cha kutumia nyubani na kingine cha kutumia shuleni.Viti hivyo vya magurudumu sasa vimemwezesha kuondoka mahali pamoja hadi pengine na kurejesha ndoto yake ya kurejea shuleni.Hapa ni historia kumhusu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive