Chimbuko la majina ya jamii ya Bukusu

  • | Citizen TV
    776 views

    Kwa kipindi kirefu, jamii ya wabukusu imedumisha mila na tamaduni yake kwa kuhakikisha watoto wanaozaliwa wanapewa majina ya kiasili yenye maana ya wakati, msimu, mazingira na hata mahali walikozaliwa.