24 Apr 2026 1:23 pm | Citizen TV 548 views Duration: 1:42 Chuo cha kutoa mafunzo ya Udakatri na na Uuguzi nchini KMTC kwa ushirikiano na serikai ya kaunti ya Kajiado pamoja na wadau wengine kimezindua bewa kubwa zaidi nchini Katika kaunti ya Kajiado.