Chuo cha Tiata Taveta Polytechnic chaongeza kozi

  • | Citizen TV
    120 views

    Baada ya chuo cha kiufundi cha CIT kufaulu kupandishwa daraja na kuwa Chuo cha kitaifa cha Taita Taveta , chuo hicho kimeongeza kozi tofauti zilizochochea kuongezaka kwa idadi ya wanafunzi. hali hii imeichochea hazina ya cdf voi kutoa shilingi milioni 1.5 za kufadhili chuo hicho. Keith simiyu anaarifu zaidi...