Skip to main content
Skip to main content

Chuo kikuu cha Uzima chapinga madai ya kutofuata sheria

  • | KBC Video
    629 views
    Duration: 3:26
    TAARIFA IBUKA KISUMU Chuo kikuu cha Uzima kimekanusha ripoti za baadhi ya vyombo vya habari zilizodai kuwa haizingatii viwango vya kisheria vya mafunzo ya uanahabari na utabibu. Naibu chansela wa chuo hicho, Cosmas Rhagot, amesema kuwa chuo hicho kimetimiza viwango vinavyohitajika vya mafunzo, na tayari kilipata hati ya kuwa chuo kikuu kinachotambuliwa na serikali mwaka jana. Wakati huo huo, wahudumu wa afya katika kaunti ya Kisumu wameapa kuendelea na mgomo wao kwa kutolipwa mishahara hadi malipo yao yaliyosalia yatakapolipwa. Wycliffe Oketch anatuletea taarifa hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive