- 1,610 viewsDuration: 4:48Wenyewe husema kazi ni kazi - bora pesa, faida na uwezo wa kununua bidhaa. Hii ndio pia ndio kauli ya chura wa Wajir ambao kazi yao ni kusafisha vyoo vya ndoo katika kaunti hiyo. Wito wao ni mmoja tu, wanataka waheshimiwe kwani huduma yao ni muhimu mno