Dabi ya kariakoo kuandika historia mpya

  • | BBC Swahili
    1,676 views
    Watani wa jadi wa soka la Tanzania Bara, klabu ya Yanga, @yangasc anakutana na watani wao wa jadi Simba @simbasctanzania Juni 25. - Kumeibuka masuala lukuki ya kupambania ikiwemo heshima na kitita cha mamia ya mamilioni ya fedha. - Mara ya mwisho timu hizi kukutana siku ya mwisho ya kuufunga msimu zote zikiwania ubingwa ni miaka 40 iliyopita, Agosti 10, 1985, pambano lilipovunjika kwa Simba kugomea mkwaju wa penati. - Fuatilia matukio mengine machache ya kihistoria wakati wa kufunga msimu, kama anavyoeleza Florian Kaijage… - - #bbcswahili #soka #kandanda #michezo #yanga #simba Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw