- 7,088 viewsDuration: 3:06Mvutano umeibuka kati ya serikali ya kaunti ya mombasa na madaktari kufuatia kusimamishwa kazi kwa afisa mkuu wa hospitali ya coast general iqbal khandwalla. Huku madaktari wakitishia mgomo, kaunti ya mombasa imepuuza siasa katika kusimamishwa kwake kazi.