Skip to main content
Skip to main content

Daktari Oduor afafanua kifo cha Rex Masai mahakamani

  • | Citizen TV
    1,394 views
    Duration: 3:08
    Daktari mkuu wa upasuaji wa maiti serikalini Johansen Oduor ameiambia mahakama kuwa kifo cha Rex Masai kilisababishwa na kuvuja damu kupita kiasi kufuatia jeraha la risasi kwenye paja la kushoto. Daktari Oduor, akiwa miongoni mwa mashahidi muhimu wa upande wa mashtaka, alitoa taarifa hiyo katika utenguzi wa kitendawili cha mauaji ya Rex wakati wa maandamano ya vijana mwaka wa 2024. Ben Kirui amekuwa akifuatilia uchunguzi huo wa mahakama na hii hapa taarifa yake.