10 Apr 2026 7:42 pm | Citizen TV 634 views Duration: 1:23 Mbunge wa Ol Kalou David Kiaraho amezikwa nyumbani kwake leo katika eneo la Tigoni, eneo bunge la Limuru, kaunti ya Kiambu. Viongozi waliohudhuria mazishi walimmiminia sifa kwa kuwa kiongozi mchapa kazi.