David Ngungu kutoka Machakos ajishindia Ksh.146,000

  • | Citizen TV
    146 views

    David Ngungu kutoka Machakos ndio mshindi wetu wa new Shabiki Supa Jackpot, baada ya kujishindia shilingi laki moja arobaini na sita.