- 838 viewsMshukiwa mmoja amekamatwa na simu zaidi ya ishirini kunaswa pamoja na vifaa vya kusafisha mfumo wa simu hizo. Kulingana na idarab ya upelelezi, simu nyingi zinazoibiwa huishia nchi za Tanzania,Uganda , Rwanda na Burundi. Katika operesheni ya kuwanasa wahusika ,eneo la Kericho lilipatikana kuwa eneo wanalotumia sana kusafisha mfumo wa simu hizi baada ya kuibiwa.