Skip to main content
Skip to main content

Dereva mkenya afariki Uganda

  • | Citizen TV
    2,018 views
    Duration: 1:48
    Familia moja katika kijiji cha Kamukunda eneo bunge la Kanduyi Kaunti ya Bungoma inamwomboleza mwana wao aliyezama ndani ya bwawa la Gulu katika nchi jirani ya Uganda. Familia ya Daniel Obiro iliarifiwa kwa njia ya simu kuhusu kifo chake majini tarehe saba mwezi huu , lakini juhudi za kuuopoa mwili zimegonga mwamba. Obiro alikuwa dereva wa lori la kusafirisha mafuta ya petroli . Familia yake inaomba msaada wa kuuopoa mwili wake na kuuleta kenya kwa mazishi.