Dereva wa basi lililohusika kwenye ajali na matatu katika eneo la Twin Bridge aachiliwa kwa dhamana

  • | Citizen TV
    1,356 views

    Dereva wa basi lililohusika kwenye ajali na matatu katika eneo la Twin Bridge, Mau Summit ,kaunti ya Nakuru jumanne wiki hii na kusababisha maafa ya watu kumi na watano ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi millioni moja.