- 2,160 viewsDuration: 39sMtu mmoja huko Texas amekamatwa baada ya kuingiza kwa makusudi gari lake la Tesla Cybertruck ndani ya ziwa, akidai alitaka kutumia kipengele cha gari kinachoruhusu kuendesha kwenye maji kinachoitwa “wade mode.” Hata hivyo, polisi wanasema amefanya kosa kwa kuendesha gari katika eneo lililozuiwa ndani ya ziwa na kuvunja sheria za usalama wa maji Tesla Cybertruck ni gari la umeme lenye muundo wa chuma imara na huuzwa kwa bei ya zaidi ya dola 70,000. #bbcswahili #MAREKANI #TeslaCybertruck Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw