- 91 viewsDuration: 2:20Serikali inakadiria kuanzisha hazina ya kuwasaidia mashujaa wakongwe. Waziri wa jinsia na utamaduni Hanna Cheptumo alisema serikali itashirikiana na washirika wa maendeleo kuhakikisha Baraza la Mashujaa linapata ufadhili wa kutosha ili kutekeleza majukumu yake ipasavyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive