- 14,516 viewsDuration: 20sVideo hii inaonyesha wakati radi ilipopiga Eiffel Tower huku dhoruba kali ya mvua na radi ikiikumba jiji la Paris. Tukio hilo linajiri baada ya wimbi la joto kali lililovunja rekodi kuikumba Ulaya siku ya Jumamosi (27 Juni). Inakadiriwa kuwa watu milioni 150 barani Ulaya kwa sasa wanakabiliwa na hali joto inayozidi nyuzi joto 35 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw