10 Dec 2025 1:11 pm | Citizen TV 55 views Mashirika ya kijamii kutoka kaunti ya Garissa wanalaumu asasi za usalama kwa kukosa kukomesha visa vya utekaji nyara vinavyoendelea katika sehemu nyingi za kaunti hiyo.