"Diddy alitazama nikifanya mapenzi wa wanaume wengine"

  • | BBC Swahili
    853 views
    Kesi dhidi ya Nguli wa muziki wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, inaendelea, na shahidi mkuu upande wa mashtaka, na aliyekua mpenzi wa Didy , Casandra Ventura maarufu Cassie alisimamishwa na kutoa ushahidi wake.. Cassie ameeleza jinsi Combs alivyochukua udhibiti wa maisha yake Lakini zaidi ya hapo, anadai alilazimishwa kushiriki katika matukio ya ngono yanayojulikana kama “freak-offs”, ambapo wanaume waliolipwa walifanya naye ngono huku Combs akiangalia. Ventura amesema matukio haya yaliendelea kwa miaka mingi katika miji mbalimbali duniani, ikiwemo Los Angeles, New York na Ibiza. @elizabethkazibure anaelezea zaidi #bbcswahili #Diddy #diddytrial Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw