Didmus Barasa Mashakani

  • | K24 Video
    84 views

    Mbunge wa kimilili Didmus Barasa adaiwa yuko mafichoni baada ya maafisa wa idara ya upelelezi wa jinai, DCI, kutoka Nairobi kuvamia boma lake katika kijiji cha Nasyanda eneo bunge la Kimilili, na kupata gari la serikali. Gari hilo lililokuwa limebadilishwa nambari za usajili limekuwa likitumiwa katika kampeini za barasa za kisiasa.