"Wanaharakat waliothibitiwa kwao wasije tuharibia kwetu"

  • | BBC Swahili
    14,435 views
    “Tusiwe shamba la bibi “ Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekemea wingi wa Wanaharakati kutoka nje ya nchi wanaojaribu kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania na kutaka kuivuruga amani. - - #bbcswahili #siasa #tanzania #kenya #wanaharakati Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw