Didmus Barasa: Mkutano wa viongozi wa Magharibi na Musalia Mudavadi ni wa maendeleo ya Magharibi

  • | West TV
    64 views
    Mbunge wa Kimilili Didmus Barasa atetea mkutano wa Wabunge wa Magharibi kufanya mkutano na Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi kuwa ni mkutano wa kuimarisha maendeleo ya eneo nzima