Skip to main content
Skip to main content

Dira ya Magatuzi: Changamoto za mpito wa gredi ya 10 Homa Bay

  • | KBC Video
    434 views
    Duration: 5:08
    Katika kaunti ya Homa Bay, hali ni ya kusiskitisha, ambapo umaskini na magonjwa yanatishia kuathiri kuvuruga masomo ya wanafunzi waliojiunga na gredi ya 10. Katika shule ya upili ya vijana ya Oriwo , baadhi ya wanafunzi walifika shuleni bila chochote, jambo linaloashiria hali halisi ya changamoto familia nyingi zisizojimudu zinakumbana nayo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive