"Infotrak imesema muungano unaoweza kuwa imara zaidi katika upinzani ni ule wa Kalonzo na Sifuna. Hata hivyo, swali ni kama viongozi wengine watauridhia muungano huo. Kwa hali ilivyo sasa, sidhani kama upinzani unaweza kumng'oa rais madarakani. Itategemea aina ya muungano ambao upinzani utaunda na pia muungano ambao upande wa serikali utaunda." — Dkt. Harun Issack Hassan, Mtaalamu wa Uongozi
#TV47Habari #StoryNiYetu
@Kilemi_Andrine
Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'
*About TV47*
'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__
Connect with us:
Website: https://www.tv47.digital/
Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE
Twitter: https://twitter.com/tv47news
Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/
TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke
Telegram: https://t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__