Douglas Kanja asema bunduki mbili zilizotumiwa kwa mauaji ya Ong'ondo Weere zapatikana

  • | Citizen TV
    2,780 views

    Inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja amethibitisha kuwa bunduki mbili zilizopatikana kwenye msako wa polisi kutoka kwenye makazi ya washukiwa wa mauaji ya mbunge w akasipul Ong'ondo Were zilihusika kwenye mauaji. kanja amesema kuwa ripoti ya uchunguzi imethibitisha kuwa sihala hizo ndizo zilizotumiwa kumuua were wiki iliyopita na pia zimetumiwa katika visa mbalimbali vya uhalidu Nairobi na kiambu.