DPP kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa kumwachilia mtangazaji Jackie Maribe

  • | Citizen TV
    1,812 views

    Afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma imewasilisha notisi ya kutaka kukata rufaa dhidhi ya uamuzi wa mahakama kuu uliomwachilia huru aliyekuwa mtangazaji Jackie Maribe katika kesi ya mauaji ya mfanyabiashara Monica Kimani.