DR Congo kuzika jino la Patrice Lumumba

  • | BBC Swahili
    6,884 views
    Sherehe rasmi za kuhifadhi jino la shujaa na waziri mkuu wa kwanza wa nchi ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo Patrice Lumumba aliyeuawa mwaka 1961 zinaendelea nchini humo baada ya jino hilo kupitishwa katika maneo mbalimbali ya nchi kuruhusu watu kutoa heshima zao. Jino hilo ni sehemu pekee ya mwili wake ambayo ipo baada ya mabaki yake kuyeyushwa katika asidi. Je wananchi nchini humo wanamkumbukaje shujaa huyu aliyeiongoza nchi hiyo kupata Uhuru? #bbcswahili65 #bbcswahili #drc