DRC yaanza kuuza vitalu vya mafuta na gesi

  • | VOA Swahili
    2,501 views
    DRC Oil Drill Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inatarajia kupiga mnada maeneo yake ya mafuta na gesi asilia ili kuruhusu shughuli za uchimbaji mafuta kwa wawekezaji binafsi. Hata hivyo mpango huo umekabiliana na ukosoaji kutoka kwa wanamazingira wanaodai kuwa maeneo mengi yanahitaji kulindwa. Mwandishi wetu wa Kinshasa Byobe Malenga alitembelea maeneo hayo nakutuandalia ripoti ifuatayo. PKG Phoenix Heat Phoenix, Arizona, is one of the hottest urban centers in the United States. More than 300 people in and around the city died of heat-related causes in each of the past two years. As Mike O'Sullivan reports, Phoenix has joined a growing number of cities that are searching for ways to cope with a changing climate. Camera: Lucas Mullikin. Abdushakur amefanya hii package DRC Business Mjini Goma kivu Kaskazini wakazi wanaomba suluhisho kuhusu mzozo kati ya DRC na Rwanda na tatizo la wapiganaji wa M23 ambao wamesababisha maisha kuwa magumu kutokana na mpaka kati ya Uganda na DRC kufungwa tangu waasi waudhibiti mji wa Bunagana. Mwandishi wetu wa DRC Austere Malivika ana ripoti zaidi. EAC PKG Wakati Mkutano wa Wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ukitarajiwa hapo kesho Ijumaa, mchakato kueleka soko la pamoja ndani ya jumuiya hiyo bado unasuasua huku nchi wanachama zikielezwa kuwa chanzo cha kuchelewa kufikia lengo hilo muhimu, idd UWESU na taarifa zaidi Entertainment Hii leo basi ikiwa ni siku ya alhamisi tunakuwa na mkusanyiko wa habari za burudani zilizotamba wiki hii, tumpshe Sunday Shomari kutueleza zaidi.
    died