- 6,795 viewsDuration: 37sOnyesho la drones limeunda picha ya majengo mawili (Twin Towers) ya New York City kama kumbukumbu ya watu waliokufa katika mashambulizi ya 9/11. Kuna taa 2,977, na kila taa inawakilisha mtu mmoja aliyefariki katika mashambulizi hayo. Hii ni sanaa iliyofanywa kwa ushirikiano na wasanii pamoja na familia za waathirika manusura na mashuhuda - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw