- 4,157 viewsDuration: 1:43Naye waziri wa Afya Aden Duale amemsuta kinara wa dcp rigathi gachagua kwa madai yake ya ufisadi kwenye bima ya afya ya sha. Kulingana na Duale, madai ya Gachagua hayana msingi wowote akimtaka naibu huyo wa zamani wa rais atoe ushahidi na kuwacha kuwachochea walimu na wakenya wengine ambao wamefaidika na bima hiyo. Amezungumza hapa nairobi kwenye hafla ya kuchangisha pesa za taasisi moja ya elimu ya kidini