- 11,673 viewsDuration: 36sMwanaume mmoja nchini Marekani alishangaa alipokuta dubu ameingia na kukaa kwenye kiti cha mbele cha gari lake katika jimbo la Colorado. Video ya kamera ya usalama inaonyesha mwanaume huyo akijaribu mbinu mbalimbali kumshawishi dubu huyo atoke ndani ya gari. Hatimaye alitumia ubao wa mbao kumwelekeza dubu kutoka nje ya lori, na wote wawili waliondoka salama bila kujeruhiwa - - #bbcswahili #dubu #wanyama #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw