Skip to main content
Skip to main content

Dubu amvamia mfanyakai wa kiwandani

  • | BBC Swahili
    4,396 views
    Duration: 21s
    Tazama video inayoonesha mwanaume akishambuliwa na dubu katika Kiwanda cha Chuma cha Fukushima nchini Japan. Watoa huduma za dharura walifika baada ya kupokea simu ikisema kwamba wafanyakazi kadhaa wameshambuliwa na dubu. Aina mbili za dubu hupatikana Japan dubu weusi wa Asia na dubu wakubwa wa kahawia wanaopatikana kwenye kisiwa cha Hokkaido. Mwaka 2025, idadi ya watu waliouawa na dubu nchini humo ilifikia kiwango cha juu zaidi kuwahi kurekodiwa. #bbcswahili #japan #wanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw