Duka kuu la Naivas lashirikiana na vituo vya redio vya RMS kuadhimisha siku ya redio duniani

  • | Citizen TV
    52 views

    Kampuni ya Royal Media Services imejiunga na ulimwengu kuadhimisha siku ya redio duniani huku ikijivunia wasikilizaji zaidi ya milioni saba kila siku kupitia vituo 13 vya redio.