Dunia Wiki Hii: Jeshi la Israel lashambulia maeneo 1,800 huko Gaza tangu katikati ya mwezi Machi

  • | KBC Video
    0 views

    Katika makala ya juma hili, Watalii 25 wauawa kwenye eneo la Kashmir linalodhibitiwa na Indian baada ya watu waliojihami kuwafyatulia watalii risasi.

    Afisa mmoja wa shirika la IMF aonya kuhusu hatari zinazokabili chumi za mapato ya chini barani Asia kutokana na taharuki za kibiashara.

    Rais wa Nigeria aagiza marekebisho kamili ya kiusalama ili kukabiana na mashambulizi yanayotekelezwa na watu wanaojihami.

    Jeshi la Israel lashambulia zaidi ya maeneo 1,800 huko Gaza tangu katikati ya mwezi Machi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News