EACC; Komeni kuingiza siasa katika vita dhidi ya ufisadi.

  • | KBC Video
    110 views

    Komeni kuingiza siasa katika vita dhidi ya ufisadi. Huo ndio ulikuwa wito wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini ‘EACC’ hii leo ,wakati wa uzinduzi wa mpango wake wa kimkakati wa miaka mitano utakaoiongoza katika utekelezaji wa majukumu yake. Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi akitumia fursa hiyo kupendekeza kuondolewa kwa miswada miwili, iliyowasilishwa kwenye bunge la kitaifa na ambayo inalenga kuondolewa kwa vipengee vinavyowapiga marufuku kuwania nyadhifa za uongozi maafisa waliohukumiwa kutokana na ufisadi au uhalifu wa kiuchumi. Giverson Maina na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive