Skip to main content
Skip to main content

EACC yaadhimisha Siku ya Afrika ya Kupambana na Ufisadi

  • | Citizen TV
    163 views
    Duration: 1:19
    Tume ya maadili na kupambana na ufisadi (EACC) inaadhimisha Siku ya Afrika ya Kupambana na Ufisadi kwa kuangazia mikakati ya kuimarisha uadilifu, uwajibikaji na uwazi katika utoaji wa huduma kwa umma.