Skip to main content
Skip to main content

EACC yachunguza wizi wa shilingi millioni 3.6 zilizotumika kwa taa za krismasi Bungoma

  • | Citizen TV
    212 views
    Duration: 56s
    Tume ya Maadili na Kukabili Ufisadi (EACC) imeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya wizi wa pesa za umma dhidi ya Maafisa Wakuu wa Serikali ya Kaunti ya Bungoma katika hafla ya kuwasha taa za mti wa Krismasi zilizogharimu Shillingi milioni 3.6.