1 Oct 2025 10:15 am | Citizen TV 260 views Duration: 1:54 Tume ya kupambana na ufisadi EACC imeshirikiana na serikali za kaunti kubuni kamati za kuzuia visa vya ubadhirifu wa pesa za umma kwenye serikali hizo.